Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







๐น๐ฟMASTER_ROOM #INAPANGISHWA
๐kimara korogwe
๐Dakika 8_10 Kutembea kutoka kituo cha Mwendokasi kwa mguu
๐นSIFAZAKE
๐นChumba, Kimoja master Kizuri
๐นUmeme luku wanashare 2 Tu
๐น Maji yanaflow ndani
๐นNyumba hii ipo ndani ya fance packing amna โ
๐Mazingira Tulivu Sana no uswahili hapa
๐ธKodi Tsh 100,000/=x6 (Miezi Sita)
๐ธMalipo ya Dalali Tsh 100,000/=
๐ธService Charge Tsh 15,000/=
#Piga_๐simu
#0785889413
#.& Whatsap
#please #Follow us ๐
Karibu Sana Mteja๐