Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







STEND ALONE INAPANGISHWA LOCATION KIMARA SUKA
SIFA YA NYUMBA NI
Vyumba viwilli vya kulala chumba kimoja ni master bedroom Sebule kubwa na jiko zuli inajitegea yenyewe Kwenye fensi BEI SHILLING 300,000 X 6
Nyumba inaludiwa langi mafundi wapo kazin
Kuperekwa kuona nyumba Shilling 15,000 Itadum mpaka upate nyumba
Ukipenda na kulipa Dalali utampa hela ya mwez mmoja
KUTEMBEA DAKKA 10 UPO BARABARAN
CALL 0785889413
CALL 0754589413
☆☆☆