Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







NYUMBA YA KUPANGA KIMARA MWISHO
======================
*SOMA MAELEZO VIZULI*
____________________________
(1)CHUMBA, SEBULE, JIKO OPEN KITCHEN, PUBLIC TOILET NDANI, MAJI DAWASA YANA FLOW NDANI#HAKUNA MASTER BEDROOM
*LUKU YA KUSHEA WA 2, PAMOJA NA MAJI
*KODI 250,000/= KWA MWEZI
_____________________________
(2)CHUMBA MASTER BED ROOM#HAKUNA JIKO
*LUKU YA KUSHEA WA 2, PAMOJA NA MAJI
*KODI 150,000/=
_____________________________
*HIZI NYUMBA ZIKO UMBALI WA DK12 KWA MGUU KUTOKA STEND MWENDOKASI, PKPK 1000/=
DALALI MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 15,000 KUONA NYUMBA
MAWASILIANO
0679997610
0658884015
Msigwa