Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







NOTE NDUGU MTEJA NYUMBA IKO WAZI FUNGUO INAKUJA WAHI BALABALA NIYAZEGE SAFI SANA
INAPANGISHWA LOCATION KIMARA STOP OVER DK 15
KUTOKA STEND STOP OVER PIKIPIKI ELF 1
UKIPENDA NYUMBA DALALI UTAMPA PESA YA MWEZI MMOJA
SIFA YA NYUMBA
vyumba viwilli vya kulala chumba kimoja ni master bedroom Sebule kubwa sana na jiko zuri ndani Inajitegemea umeme NA maji nyumba hii ipo ndani ya fensi mupo watu 2 tuu Mazingira mazuri sana
kodi kwa mwezi ni laki tatu tuu
KODI NI 300,000X6
Kwa maelezo zaidi Piga simu KUONA NYUMBA 15
Usaidiwe kwa haraka
#0785889413🔥🔥