Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
HAPA KUNA NYUMBA AINA MBILI
A: CHUMBA KIMOJA MASTER KODI 100,000 X6
B: CHUMBA SEBULE MASTER NA JIKO
UMEME LUKU YAKE
KODI 250,000 X 6
LOCATION:
KIMARA TEMBONI
UMBALI KUTOKA STEND KILOMETA 3
KUONA ELFU 15
MALIPO YA DALALI KODI YA MWEZI MMOJA
PIGA CM # 0674860193