Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kimara Korogwe, Dar Es Salaam







Aina
Nyumba
Vyumba
1
Bafu
1
Barabara ya Karibu
1km
Huduma na Sifa
Maelezo
MASTER BED ROOM NZURI INAPANGISHWA KIMARA KOROGWE
📍kimara korogwe
🕑1km umbali kutoka stand ya mwendo kasi ya kimara korogwe kwa mguu dakika 15 tu usafili bodaboda 1000 mpaka nyumbani.
🔹SIFA ZA NYUMBA.
🔹Chumba kimoja (Master Bedroom)
🔹 Umeme (Submeter yake binafsi inafungwa.)
🔹 Maji yanapatikana ndani masaa 24/7
🔹 Fensi hamna & Parking kubwa na salama
🔹Mazingira Tulivu Sana no uswahili hapa.
GHARAMA
🔸Kodi Tsh 120,000/=x(Miezi Sita)
🔸Malipo ya Dalali Tsh 120,000/=
🔸Service Charge Tsh 20,000/=
#Piga_📞simu
#.& Whatsap
#please #Follow us 🙏
Karibu Sana Mteja😊
###0655256419
###0688617926




















