Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kinondoni, Dar Es Salaam


PLOT/NYUMBA YA BIASHARA INAUZWA KINONDONI MKWAJUNI DK 5 KUTOKA MWENDOKASI📍
MILLION 65 MAONGEZI KIDOGO📌
DOCUMENTS LESENI YA MAKAZI UNAWEZA KWENDA KUFANYA SEARCH WIZARA YA ARDHI ✅
INA VYUMBA 12
KILA CHUMBA KIMOJA KODI ELF 40
KWA MWEZI MZIMA JUMLA UTAKUSANYA
LAKI NNE NA ELF THEMANINI
(480,000/=)
KWA MIEZI SITA UTAKUSANYA MILLION MBILI LAKI NANE NA ELF THEMANINI
(2,880,000/=)
KWA MWAKA MZIMA UTAKUSANYA
MILLION TANO LAKI SABA NA ELF SITINI
(5,760,000/=)
KUMBUKA HIYO HESABU NILOKUPA NI NYUMBA YA ZAMAN HAINA MAREKEBISHO YOYOTE KUMBUKA KINONDONI ROOM MOJA MPYA MASTER YENYE KILA KITU KODI NI LAKI MBILI NA NUSU HADI LAKI 3
UNAWEZA WEKA APARTMENTS ZA GOROFA UKATENGENEZA PESA NZURI ZAIDI
UKUBWA WA ENEO SQMT 350 MAKADIRIO UNAWEKA UJENZI WOWOTE
SERVICE CHARGE 50K📌
☎️📞