Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Madale, Dar Es Salaam


🏠Apartments zipo 3 kwenye fensi
📍 Madale - Flamingo
đź“… Zitakuwa tayari kuhamia tarehe 1/7/2025
🛏️ Chumba 1 (Master)
🛋️ Sebule
🍽️ Jiko
⚡ Luku yako
đźš° Maji mita yako
🛣️ Toka lami unatembea tu
đź’° Bei: 300,000 kwa mwezi
đź•• Malipo kuanzia miezi 6
📞 Wasiliana:
0716501815