Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Madale, Dar Es Salaam


*Date Listed*13/07/2025
-Nyumba Kali Sana Ya Kibachela Inapangishwa
- Mahali Ilipo:Madale Mikoroshini
-1 Bedroom Master
-Seating Room
-Umeme Unajitegemea
-Dawasco Water 24 Hours
-Fenced
-Car Parking Space Available
▪️Service Charge Ni 30,000/=(Payable Once)
▪️Bila Ya Kusahau Kodi Ya Mwezi Mmoja Wa dalali 0713 636000
◾️Price 200,000/=
◾️Term:3 Months