Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Mawasiliano, Morogoro







Nyumba inayojitegemea yenyewe inapangishwa ipo kimara korogwe maeneo ya kilungule kwa mwarabu (Darwesh ) umbali wa km 1.5 kutoka Morogoro Road korogwe Mwendokasi Terminal.
Haipo ndani ya fensi ila Mazingira mazuri tulivu na Usalama upo.
Sifa zake -
Chumba kimoja master
Sebule kubwa
Public toilet
Jiko kubwa
Tails
gypsum
Madirisha Aluminium
Umeme Luku inajitegemea
Maji Dawasa yanaflow chooni jikoni & Rezev Simtank ipo.
Kodi ni laki 200,000 /=
Kwa mwezi.
Malipo miezi sita
---------------
NB -MPANGAJI ANAETAKIWA HAPA NI MKIRISTO
Dalali mwezi mmoja ulipiapo nyumba sevchage 20,000 kuona nyumba
Mawasiliano
0715949085



















