Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Mbagala Chamazi, Dar Es Salaam


Aina
Nyumba
Vyumba
1
Huduma na Sifa
Maelezo
Chumba master bedroom kinapangishwa bei elfu 70 kwa mwezi kodi kuanzia miezi 6 nakuendelea. Nyumba IPO mbagala chamazi kwamasister, boda boda ni buku tu hadi kwenye nyumba. Chumba master bedroom kina tiliz, madilisha vioo, maji yanatoka hadi vyooni, tiliz, madilisha vioo na fensi ya parking ipo pia. Kwa mawasiliano zaidi pga namba 0688559385 au pga namba 071925 0426.



















