Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







Apartiment house for rent nzuri kali sana
Location mbezi kibanda cha mkaa km 2
Kodi 200000 kwa mwezi na dalali mwezi 1 Service charge 15000 kuona nyumba
Chumba kimoja master
Sebule
Kitchen with cabinet
Umeme luku yake
Maji dawasa ndani yanafloo
Parking kubwa
dalali ubungo mbezi kimara
0785299128



















