Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


CHUMBA KIMOJA MASTER KUBWA KINAPANGISHWA
MPYAA!!! MPYAA!!!
LOCATION: MBEZI MWISHO NJIA YA MARAMBA
UMBALI KUTOKA KITUONI DKK 5 KUTEMBEA
SIFA ZAKE:
KIKUBWA GOROFANI UNAJITEGEMEA UMEME NA MAJI PIA YANAFLOW
UMEME UNAJITEGEMEA
MAJI YA BILI DAWASA
KODI 120,000 X 3
KUONA ELFU 20
MALIPO YA DALALI KODI YA MWEZI MMOJA
PIGA SIMU 0789049684



















