Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







πΉπΏSTAND ALONE INAPANGISHWA
IPO TEMBONI KULIA KAMA UNAELEKEA MBEZI DK 18 KUTEMBEA KWAMIGUU BODA BUKU MPAKA GETINI
SEBULE KUBWA SANA
VYUMBA V3 VIKUBWA VYA KULALA
CHUMBA KIMOJA MASTER
JIKO KUBWA ZURI
PUBLIC TOILET NZURI π»
TIRES, GYPSUM Na SLIDE WINDOWS
IPO NDANI YA FENCE
FULL PAVING BLOCKS π«
MAJI YANATOKA CHOONI NA JIKONI
KODI 350,000 Γ 6
NYUMBA INAITAJI UKARABATI YOTE IWAPO UTALIPIA UTASUBILI WIKI MOJA
KUONA NYUMBA 15,000
UTAMLIPA DALALI KODI YAMWEZI MMOJA UKILIPIA NYUMBA
CONTACT US
0688 067 289 π
0714 418 005 WhatsApp