Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam
KODI 50000X6
=========
APATIMENT ZIPO MBEZI KWA MSIGURI
==========
UMBALI WA KUTOKA BARABARANI KILOMITA 1 POINT 5
=====≈
USAFIRI BAJAJI 700
BODA BODA 1000
=======
KUTEMBEA DAKIKA 15 KWA MIGUU
/=======
SIFA YA NYUMBA CHUMBA KIMOJA
CHOO NJE WANASHEA WATATU
UMEME WATATU PIA
IPO NDAN YA GETI
========
KUPELEKWA KUONA 15000
UKILIPA DALALI UNAMLIPA KODI YA MWEZI MMOJA
=/======
CALL O659244543