Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







#AMKA NA HIII MASTER NZURI NA JIKO LAKE NDUGU MTEJA
MASTER BEDROOM NA JIKO NZURI FOR RENT MBEZI KIBANDA CHA MKAA
KM 1 TOKA MOROGORO ROAD USAFIRI WA BAJAJ UPO 24HRS 
BEI NI 130,000/=×6
[BILA MIEZI SITA USIJE NDUGU MTEJA]
SIFA ZAKE 
NI CHUMBA KIMOJA MASTER 
NA JIKO NZURI MPYA MPYA 
UMEME LUKU YAKO 
MAJI SAFI YA DAWASA 24 HRS 
FENSI NA PARKING NI KUBWA 
NOTE: SERVICE CHARGE NI 15,000/=
DALALI KIMARA SUKA LEONARD 
0719-092747
0683-387747
0765-494343




















