Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam
NYUMBA MPYAAAA (MBEZI BEACH)
ZINAKAMILIKA BAADA YA MWEZI 1 TU
UNALIPA, TUNAANDIKISHANA MKATABA UNASUBIRI KUINGIA, WAZEE WA NYUMBA MPYAA HII NI YETU SASA.
NI CHUMBA KIMOJA CHA KULALA, SEBULE, JIKO NA CHOO..
BEI NI LAKI 600,000\/= KWA MWEZI
MALIPO NI KUANZIA MIEZI 6 PAMOJA NA MWEZI MMOJA WA DALALI.
NIAMINI MIMI, NYUMBA ZIKIKAMILIKA PATAKUWA PATAMU VIBAYA MNOO.
dalalisuperstar_tz
#0714128124______