Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam
Apartiment house for rent Kali Sana nzuri
Location Mbezi mwisho malamba km 1 usafiri upo
Kodi 200000 kwa Mwezi na dalali mwezi 1 Service charge 15000 kuona nyumba
Chumba kimoja master
Sebule
Jiko
Umeme luku yake
Maji dawasa ndan yanafloo
Garden nzuri Sana
Parking space fency
Dalali ubungo mbezi kimara
0785299128