Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







CHUMBA KIMOJA MASTER KINAPANGISHWA
LOCATION:
MBEZI NJIA YA MALAMBA UKISHUKA UNATEMBEA DAKIKA 8-10 KWA MIGUU
SIFA ZAKE:
MAZINGIRA MAZURI SANA
KODI 60,000 X 4 MPAKA 6
UMEME UNASHEA
MAJI UNASHEA BILI
KUONA ELFU 15
MALIPO YA DALALI KODI YA MWEZI MMOJA
SIMU
0712656027