Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam
KODI 50000X6
=========
APATIMENT ZIPO MBEZI
CHUO CHA ST.JOSEPH
==========
UMBALI WA KUTOKA BARABARANI KILOMITA 2
=====≈
USAFIRI
BODA BODA 1000-1500
=======
KUTEMBEA DAKIKA 25 KWA MIGUU
/=======
SIFA YA NYUMBA
CHUMBA KIMOJA
CHOO NJE CHA KWAKO NA MAJI YANAFLOW HUKO HUKO
UMEME WATATU PIA
IPO NDAN YA GETI
Paving blocks
========
KUPELEKWA KUONA 15000
UKILIPA DALALI UNAMLIPA KODI YA MWEZI MMOJA
=/======
KIPO WAZI
==/=====
SIMU
+255 684 88 14 29
+255 658 58 64 49
MSHATI