Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


MASTER BEDROOM NA JIKO NZURI FOR RENT MBEZI KIBANDA CHA MKAA
KM 1 TOKA MOROGORO ROAD USAFIRI WA BAJAJ UPO 24HRS
BEI NI 130,000/=×6
*ANGALIZO BILA MIEZI SITA USIJISUMBUEEE KUJA NDUGU MTEJA*
SIFA ZAKE
NI CHUMBA KIMOJA MASTER
NA JIKO NZURI MPYA MPYA
UMEME LUKU YAKO
MAJI SAFI YA DAWASA 24 HRS
FENSI NA PARKING NI KUBWA
NOTE: SERVICE CHARGE NI 15,000/=
Simu
0679997610
0747997630
Msigwa