Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







🇹🇿HOUSE FOR RENT #STAND ALONE
Inajitegemea Yenyewe Kwenye Fence
KODI 500,000 × 6
ITAKUWA WAZI KUANZIA 14/04/2025
KUONA NDANI ENDAPO MPANGAJI ATAKUWEPO
✅️SEBULE KUBWA SANA
✅️VYUMBA V3 VIKUBWA VYA KULALA
✅️CHUMBA KIMOJA MASTER
✅️JIKO KUBWA LA KISASA
✅️PUBLIC TOILET NZURI 🚻
✅️MAKABATI YA NGUO VYUMBA VYOTE
✅️AIR-CONDITION [ Full A/c ]
✅️PARKING KUBWA SANA 🚘
✅️GARDEN NZURI
✅️FENCE IMEZUNGUSHIWA WAYA WA UMEME
✅️MAJI DAWASA YANAFLOW 24HRS
✅️RESERVE TANK
✅️GOOD ENVIRONMENT 👍
📌APARTMENT HII IPO MBEZI MWISHO NYUMA YA STAND KUU YA MABASI YA MKOANI
📌KUTOKA MOROGORO ROAD YA STAND HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1
📌NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA 🚘
CONTACT US
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp