Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam
💥KODI NI Tsh.120,000/= KWA MWEZI
CHUMBA _MASTER_BEDROOM_NZURI_KUBWA INAPANGISHWA
LOCATION: MBEZI (MWISHO) LUGURUNI JIRANI NA CHUO CHA SAINT JOSEPH
UMBALI KUTOKA MOROGORO ROAD NI WA KUTEMBEA DAKIKA 4 TU KWA MIGU
✔️TILES, GYPSUM BOARD, ALUMINUM SLIDING WINDOWS
✔️UMEME KILA CHUMBA KINAJITEGEMEA
✔️MAJI DAWASA YANAFLOW NDANI
MAZINGIRA MAZURI SANA NA SALAMA
📌KIPO WAZI CHUMBA KIMOJA
SERVICE CHARGE NI 15,000/=
BILA KUSAHAU MALIPO YA KIASI SAWA NA KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
CONTACTS
DALALI MAKINI UBUNGO
0712500602
0755336565