Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Moshono, Arusha


NYUMBA MPYA ZINAPANGISHWA MBAUDA FIELD FORCE
Zitakuwa Wazi Tarehe 20 Unaruhusiwa kuona na kulipa
Ni Chumba Kimoja Chakulala Master
Ina Sebule
Ina Baraza unaweza kufanya jiko
Ina Parking
Inajitegemea umeme
Ina Heater System
Nyumba ni Mpya kabisa
Bei 150,000 kwa Mwezi
.
CONTACTS - 0683545452
INSTAGRAM - dalali_dave_arusha
.
#arushanationalpark #arushatanzania #houseforrent #dalalidavearusha #dalaliwanyumbazakupangaarusha #dalalidavearusha #njiro #nyumba #realestate #nyumbazakupangaarusha #kijenge #moshono #ngulelo #usariver #viwanjaarusha #dalaliarusha #nyumbazakupangaarusha #arusha #Arushabroker #Instagram