Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Moshono, Arusha


INAPANGISHWA MOSHONO ARUSHA
NYUMBA CLASSIC
NI CHUMBA KIMOJA CHA KULALA
INA SEBULE
INA JIKO LENYE MAKABATI
INA CHOO NDANI
INA HEATER YA MAJI MOTO
INA ELECTRIC FANCE
INA PARKING
INA DOOR BELL
INA INTERNET
INA REMOTE GATE CONTROL
WAPANGAJI WAWILI TU
UMEME UNAJITEGEMEA
BEI 300,000 KWA MWEZ
CALL 0758105801