Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Moshono, Arusha


INAPANGISHWA MOSHONO ARUSHA
NYUMBA IPO KARIBU NA LAMI KABISAAA
NI CHUMBA KIMOJA CHA KULALA
INA SEBULEE
INA JIKO (OPEN KITCHEN)
INA MAKABATI JIKONI
INA KABATI CHUMBANI
INA CHOO NDANI
INA PARKING
UMEME UNAJITEGEMEAA
BEI 250,000/=KWA MWEZ
CALL 0758105801