Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Pugu, Dar Es Salaam
NYUMBA INAPANGISHWA
INA CHUMBA KIMOJA CHA KULALA (MASTER), SEBULE NA JIKO, FENI SEBULENI NA CHUMBANI.
UMEME MITA YAKUJITEGEMEA NA MITA YA MAJI YAKUJITEGEMEA MAJI YANATOKA NDANI, PARKING IPO.
KODI 150000 KWA MWEZI...
LOCATION: PUGU KWA RAIS.
CONTACT: 0788156493 0614130017 0760053111