Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Pugu, Dar Es Salaam
NYUMBA MPYAAA INAPANGISHWA
INA CHUMBA KIMOJA CHA KULALA (MASTER), SEBULE NA JIKO.
UMEME MITA YAKUJITEGEMEA NA MITA YA MAJI YAKUJITEGEMEA MAJI YANATOKA NDANI MASAA 24.
KODI 150000 KWA MWEZI.. MALIPO KWANZIA MIEZI MITATU.
LOCATION: PUGU KAJIUNGENI.
CONTACT: 0788156493 0614130017 0760053111