Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Pugu, Dar Es Salaam







NYUMBA INAPANGISHWA NI MPYAAAA.
INA CHUMBA KIMOJA CHA KULALA MASTER | SEBULE | JIKO LENYE KABATI JIKO SIO KUBWA
| FENI CHUMBANI NA SEBULENI | MAJI DAWASA TENKI LAKO MWENYEWE | UMEME UNAJITEGEMEA.
🔻LOCATION: PUGU, KITUO SECONDARI.
💰 KODI: 150,000 KWA MWEZI
☎️ CONTACT
0614130017
0788156493
0760053111
SERVICE CHANGE 20000