Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Pugu, Dar Es Salaam







NYUMBA ZINAPANGISHWA (NI MPYAA) IMEBAKI MOJA TUU!!
MPAKA TAR 1/8 MPANGAJI ANAINGIA.
INA CHUMBA KIMOJA CHA KULALA (MASTER), SEBULE NA JIKO LINAWEKWA KABATI, FENI SEBULENI NA CHUMBANI, RESERVE TANK ZAKUTOSHA.
UMEME MITA YAKUJITEGEMEA NA MITA YA MAJI YAKUJITEGEMEA.. BONBA LA NNJE UNAJITEGEMEA NA MAJI YANATOKA NDANI, PARKING IPO. NNJE KUNA PAVING.
KODI 170000 KWA MWEZI.. MALIPO KWANZIA MIEZI MITATU.
LOCATION: PUGU KAJIUNGENI.