Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Salama, Mara


π CHUMBA MASTER NA JIKO β NDANI YA FENSI! π
π Nyumba safi, salama na yenye nafasi ya kutosha!
π Mahali: Bunju B
πΉ Muundo wa Nyumba:
ποΈ Chumba 1 cha kulala (Master)
π½οΈ Jiko
β‘ Umeme na maji unajitegemea
π§Ή Usafi wa nje unahudumiwa na mtu maalum
π° Kodi: TSh 130,000/= kwa mwezi!
π Wasiliana nami kwa simu au WhatsApp:
π² 0687 800 788
π² 0713 958 395