Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Serengeti, Mbeya
Nyumba kali, Nyumba yakisasa yenye chumba kimoja na sebule self na jiko ndani, umeme wakujitegemea, maji yanatoka ndan, kuna usalama wa kutosha na hakuna wapangaji wengi. Kodi tsh, 170,000/= kwa mwezi, ipo maeneo ya Serengeti, mawasiliano sim. 0764162942 au 0626332187 Asante, nisaidie ku-share kama sio wewe. ๐๐๐