Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Sinza, Dar Es Salaam


*Date Listed*18/06/2025
-Nyumba Kikali Sana Ya Kibachela Inapangishwa 
- Mahali Ilipo:Sinza Kwaremy 
-1 Bedroom Master
-Seating Room 
-Kitchen 
-Dawasco Water 24 Hours 
-Fenced 
-Car Parking Space Available 
▪️Service Charge Ni 30,000/=(Payable Once)
▪️Bila Ya Kusahau Kodi Ya Mwezi Mmoja Wa dalali...
◾️Price 400,000/=
◾️Term:6 Months 
▪︎ Call:-+255788939898....
▪️The Untouchable Broker▪️



















