Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Sinza, Dar Es Salaam
.
Inapangishwa SINZA MORI
Ina chumba kimoja cha kulala chenye choo ndani
Sebule
Jiko
Nyumba kali mno
Kodi 525,000/= Tzs kwa mwezi
Viewing fee 20,000/= Tzs
Agency fee 525,000/= Tzs
Piga: 0769138053