Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Sinza, Dar Es Salaam


*Date Listed*30/09/2025
-Chumba Kikali Cha Kibachela Kinapangishwa 
- Mahali Kilipo:Sinza Mapambano 
-1 Bedroom Master 
-Dawasco Water 24 Hours 
-Fenced 
-Car Parking Space Available 
-Paving Blocks 
▪️Service Charge Ni 30,000/=(Payable Once)
▪️Bila Ya Kusahau Kodi Ya Mwezi Mmoja Wa@dalali
◾️Price 200,000/=
◾️Term:6 Months




















