Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Sinza, Dar Es Salaam


Master bedroom, Sebule na Jiko 450kš
Specifications:
⢠Nyumba ipo Maeneo ya Sinzaš
⢠Chumba Kimoja Master bedroom
⢠Jiko Lake Zuri Kabisa
⢠Nyumba ipo Fenced
⢠Ipo karibu na Main Road (dk 5 kutembea)
Payment Conditions:
⢠Kodi ya Nyumba Kwa Mwezi ni 450k
⢠Malipo Ya Kodi ni ya Miezi Sita (6)
Service Fee:
⢠Gharama Za Kuona Numba Ni 20k (Inalipiwa Mara Moja Hadi Utakapopata Nyumba)
⢠Gharama Za Dalali Ni Mwezi Mmoja wa Kodi Ya Nyumba ambayo Hulipwa Na Mpangaji Tofauti Na Kodi
Contact:
⢠0744701813 Normal/Whatsappš²