Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Tabata, Dar Es Salaam


HII SIO YAKUKOSA !!!
TSHS MIL 1.5, NYUMBA INAPANGISHWA
IKO-DAR-ES-SALAAM Tz
MAHALI-TABATA KINYEREZI
UMBALI DK 2 TOKA BARABARA KUU YA LAMI
NYUMBA MPYA NZURI YA KISASA
YA FAMILIA KUBWA
INAJITEGEMEA
YENYE;-
Vyumba Vi3 full AC, kimojawapo ni Master yenye Heater ya Maji moto, Cctv Camera kila kona ya nyumba , Dinning, Sebule, Jiko lenye Makabati na ina jiko kama jiko la Umeme & Gesi, Stoo, Choo\/Bafu vya ndani
Gypsum Tiles Slides Windows
Umeme x Maji vyote vipo
Cars Parking space ipo
Garden nzuri, Pavingblocks
PIA INA CHUMBA KIMOJA NJE CHA MLINZI
NYUMBA TAMU KODI TSHS MIL 1.5 KWA MWIEZI 2
TERMS ZA MALIPO NI KUANZIA MIEZI 3 NAKUENDELEA MWENYEWE MZUNGU WA ROHO, POCHI NENE NA MWENYE HOFU YA MUNGU HANA NJAA INGAWA MTANZANIA MWENZETU
MALIPO YA MTEJA NI PAMOJA NA MWEZI MMOJA KWA DALAli
SERVICE CHARGE 30,000
KWA MAWASILIANO PIGA;-
=======
CONT
0683234124
0752978231