Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Tabata, Dar Es Salaam
Apartiment house for rent Kali Sana nzuri Mpya kabisa
Location tabata mwananchi realin dakika 15 kutembea mpaka home
Kodi 150000 kwa Mwezi na dalali mwezi 1 Service charge 15000 kuona nyumba
Chumba kimoja master tu na Jiko
Umeme luku
Maji dawasa ndan yanafloo
Parking space fency
Dalali ubungo mbezi kimara
0785299128