Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam







:
𝘼𝙥𝙖𝙧𝙩𝙢𝙚𝙣𝙩 𝙉𝙯𝙪𝙧𝙞 𝙮𝙖 𝙆𝙪𝙥𝙖𝙣𝙜𝙖 120k Mpyaa
#𝙇𝙤𝙘𝙖𝙩𝙞𝙤𝙣: UBUNGO MAKOKA
Usafiri Bajaji 700 Kutoka RIVERSIDE Barabara Lami Mpaka Karibu na Getini
Unaweza Ukapitia pia KIMARA KOROGWE Usafiri Bajaj 700 Barabara Mpya
#𝙎𝙞𝙛𝙖_𝙕𝙖𝙠𝙚
============
• CHUMBA KIMOJA KIKUBWA MASTER BEDROOM
• CHOO CHAKE KIZURI NDANI
Parking ipo na Umeme LUKU Wawili na Maji DAWASA yanaflow ndani Chooni.
#𝙆𝙤𝙙𝙞_𝙠𝙬𝙖_𝙈𝙬𝙚𝙯𝙞 Tsh. 120,000/- Malipo Miezi 6
#𝘼𝙣𝙜𝙖𝙡𝙞𝙯𝙤
Survey Charge ni 20,000 tu Utaonyeshwa Nyumba zote unazohitaji Zilizopo na Malipo ya Dalali
#𝘿𝙖𝙡𝙖𝙡𝙞_𝙐𝙗𝙪𝙣𝙜𝙤
0716 776247 WhatsApp
0754 221168 WhatsApp