Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISWA KODI 170,000X6
LOCATION UBUNGO RIVERSIDE DAKIKA 7 KUTEMBEA BARABARA NI LAMI MPAKA MLANGONI
DALALI MZOEFU MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 15,000 KUONA NYUMBA
SIFA ZAKE
___________
#CHUMBA KIMOJA MASTER KIKUBWAA
#JIKO NZURI NDANI
#MAJI DAWASCO YANAFLOW NDANI
#UMEME LUKU YAKO
#NDANI YA FENSI PARKING SPACE IPO
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347