Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam







๐น๐ฟHOUSE FOR RENT #STAND ALONE
KODI 300,000 ร 4 TUCHANGAMKE
LOCATION: UBUNGO MAKOKA KWA MKUWA
DISTANCE: KM 2.5 KUTOKA MOROGORO ROAD/UBUNGO EXTERNAL
#USAFIRI BAJAJI 700 DALADALA 500 UKISHUKA UNAPIGA GETI TEKE
๐ฅSEBULE KUBWA SANA
๐ฅDINNING ROOM
๐ฅVYUMBA V3 VIKUBWA VYA KULALA
๐ฅCHUMBA KIMOJA MASTER
๐ฅJIKO KUBWA LA KISASA
๐ฅPUBLIC TOILET NDANI ๐ป
๐ฅMAJI DAWASCO YANAFLOW NDANI 24HRS
๐ฅUMEME LUKU YAKO
๐ฅNYUMBA HAINA FENCE
๐ฅUSALAMA KAMA LUGALO
๐NAMFAULISHA MTEJA WANGU
CONTACT US
0688 067 289 ๐
0714 418 005 WhatsApp