Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam







Apartiment house for rent nzuri kali sana mpya kabisa za kuingia tarehe 1 / 2 kuja kuona na kulipia malipo yanapokelewa
Location ubungo makoka kwa mkua km2 usafiri upo bajaji na daladala za kwenda mjini
Kodi 150000 kwa mwezi na dalali mwezi 1 Service charge 15000 kuona nyumba
Chumba kimoja master
Jiko
Umeme luku yake
Maji dawasa ndani yanafloo
dalali ubungo mbezi kimara
0785299128



















