Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISWA KODI 230,000/= X6
LOCATION UBUNGO MAKOKA KM2 USAFIRI BAJAJI 700 KUTOKA UBUNGO RIVER SAID UKISHUKA UNAPIGA TEKE GETI
Service charge 15,000/=
SIFA ZAKE
____________
#CHUMBA KIMOJA KIKUBWA SANA
#SEBULE KUBWA SANA YA KUJIACHIA
#PABLICK TOILET NDANI
#JIKO KUBWA
#MAJI DAWASCO 24HRS
#UMEME LUKU WAWILI
#NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA PEVING BLOCK CCTV CAMERA ๐ท
Kwa maelezo zaidi piga :--
0712528820
0685221354
Mr.