Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISWA KODI 130,000X6
LOCATION UBUNGO RIVERSIDE KIBANGU DAKIKA 12-15 KUTEMBEA USAFIRI BODA 1000
DALALI MZOEFU MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 15,000 KUONA NYUMBA
SIFA ZAKE
____________
#CHUMBA KIMOJA MASTER
#SEBULE NZURI
#MAJI DAWASCO MASAA24
#UMEME LUKU
#AINA FENCE ILA USALAMA WA KUTOSHA PAKING SPACE KUBWA
NB: NYUMBA INAPIGWA RANGI YOTE UNAINGIA