Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISWA KODI 180,000X4,5,6 YOTE INAPOKELEWA
LOCTION UBUNGO MAKOKA KM2 USAFIRI BAJAJI 700 UKISHUKA UNAPIGA TEKE GETI
DALALI MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 15,000 KUONA NYUMBA
SIFA ZAKE
____________
#CHUMBA KIMOJA MASTER
#SEBULE KUBWA
#PABLICK TOILET
#MAJI DAWASCO YANAFLOW NDANI
#UMEME MNASHEA WAWILI
#NDANI YA FENSI PARKING SPACE IPO
Piga sim Kwa Maelezo zaidi
0713661530_0783661530