Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISWA KODI 250,000X6 
LOCATION UBUNGO RIVERSIDE DAKIKA 6 KUTEMBEA 
DALALI MZOEFU MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 15,000 KUONA NYUMBA 
SIFA ZAKE 
___________
#CHUMBA KIMOJA KIKUBWA 
#SEBULE KUBWA 
#JIKO KUBWA LA KISASA 
#PABLICK TOILET NDANI 
#MAJI DAWASCO YANAFLOW NDANI 
#UMEME LUKU 
#PAKING SPACE KUBWA USALAMA WAKUTOSHA KUNA MLINZI
#0785889413




















