Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam







(250,000 × 6) 𝗨𝗕𝗨𝗡𝗚𝗢 𝗠𝗔𝗞𝗢𝗞𝗔 𝗞𝗪𝗔 𝗠𝗞𝗨𝗪𝗔
APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISWA KODI 250,000 × 6
LOCATION UBUNGO MAKOKA KWA MKUA KM2 USAFIRI BAJAJI DALADALA 500 KUTOKA UBUNGO EXTRENAL AU KIMARA KOROGWE MWENDO KASI UKISHUKA UNATEMBEA DK 2
DALALI MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 15,000 KUONA NYUMBA
SIFA ZAKE
___________
#CHUMBA KIMOJA KIKUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA LA KISASA
#P𝗨BLIC TOILET NDANI
#MAJI DAWASCO YANAFLOW NDANI
#UMEME LUKU YAKO
#NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA PEVING BLOCK𝗦
𝗦𝗲𝗲𝘃𝗶𝗰𝗲 𝗰𝗵𝗮𝗿𝗴𝗲 𝗻𝗶 𝘀𝗵𝗶𝗹𝗶𝗻𝗴𝗶 15,000
𝗠𝗮𝗹𝗶𝗽𝗼 𝘆𝗮 𝗱𝗮𝗹𝗮𝗹𝗶 𝗻𝗶 𝗺𝘄𝗲𝘇𝗶 𝗺𝗺𝗼𝗷𝗮
𝗖𝗼𝗻𝘁𝗮𝗰𝘁:
0654101710
0787205300