Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam







:
๐ผ๐ฅ๐๐ง๐ฉ๐ข๐๐ฃ๐ฉ ๐๐ฏ๐ช๐ง๐ ๐ฎ๐ ๐๐ช๐ฅ๐๐ฃ๐๐ #MPYAA
#๐๐ค๐๐๐ฉ๐๐ค๐ฃ: UBUNGO RIVERSIDE
Umbali wa Kutembea Kwa Mguu Dakika 12 Kutoka Kituoni Main Road
#๐๐๐๐_๐๐๐ ๐
โข SEBULE KUBWA
โข CHUMBA KIMOJA CHA KULALA MASTER BEDROOM
โข JIKO ZURI
โข PUBLIC TOILET YA WAGENI
Apartment Zipo 4 Kwenye Fensi Parking Ipo na Kila Apartment IInajitegemea Umeme LUKU na Maji Dawasa Yanaflow Ndani
#๐๐ค๐๐_๐ ๐ฌ๐_๐๐ฌ๐๐ฏ๐ TSh. 300,000/- Malipo Miezi 6
#๐ผ๐ฃ๐๐๐ก๐๐ฏ๐ค
Survey Charge ni TSh. 10,000/- na Ukilipia Nyumba Malipo ya Dalali NI Mwezi Mmoja
#๐ฟ๐๐ก๐๐ก๐_๐๐๐ช๐ฃ๐๐ค
0716 776247 WhatsApp & Call
0754 221168 WhatsApp & Call
#NOTE: Nyumba ni Mpya Zinakamilika mwisho WA mwezi Huu Kuona na KULIPIA RUKSA... Imebaki Moja