Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI YA KISASA MPYAA KABISA INAPANGISWA KODI 300,000X6
LOCATION UBUNGO MAKOKA KWA MKUA KM2 USAFIRI BAJAJI DALADALA 500 UKISHUKA UNATEMBEA DK 5 UMEFIKA
DALALI MZOEFU MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 15,000 KUONA NYUMBA
SIFA ZAKE
_______________
#CHUMBA KIMOJA MASTER KUBWA SANAA
#SEBULE KUBWA
#JIKO NZR OPEN KITCHEN
#MAJI DAWASCO YANAFLOW NDANI
#UMEME LUKU YAKO
#NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA SANA
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347