Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISWA KODI 150000×,5,6 YOTE INAPOKELEWA NA KUNA NYINGINE 170,000X5,6 UTOFAUTI NI UKUBWA TU
LOCTION UBUNGO MAKOKA KM2 USAFIRI BAJAJI 700 KUTOKA UBUNGO RIVER SAID AU KIMARA KOROGWE MWENDO KASI UKISHUKA TU UMEFIKA
DALALI MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 15,000 KUONA NYUMBA
SITA ZAKE
_____________
#CHUMBA KIMOJA MASTER KUBWA SANAA
#JIKO KUBWAA
#MAJI DAWASCO YANAFLOW NDANI
#UMEME LUKU YAKO
#FENCI YA WAYA PAKING SPACE
NB: NYUMBA BADO V2 VIDOGO VIDOGO IKAMILIKE RANGI NA KUPAJIKA VIKABATI JIKONI WAI NDUGU MTEJA
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347